Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kijiji kinaitwa LESOIT, kata ya Lengatey, tarafa ya Kijungu, wilayani Kiteto kuna wanawake wa Kizungu wameolewa Umasaini. Sio jambo la ajabu wala kushangaza. Jumanne kuna Mpolish amefunga ndoa ya Bomani na MmaasaiDada wa kizungu aamua kufunga ndoa na mwanaume wa kimasai na kuishi umasaini. Yeye anasema ni mapenzi baina yao ndio yanapelekea kuwa pamoja kwa muda wa miaka tisa.
Je, yaweza kuwepo sababu zaidi ya kupendana? Je, yaweza kuwa kuna kikolombwezo cha mapenzi yao? Au ule mtindo wa jando?
Ingawa ni tofauti na wabantu wengine ambao wameacha kabisa tamaduni zao na kukumbatia za kizungu.Ni jambo la kawaida sana Wamasai nao ni binadamu kama binadamu wengine.