I married a Maasai man (Nimeolewa na mwanaume wa Kimasai)

I married a Maasai man (Nimeolewa na mwanaume wa Kimasai)

Huyu dada amepandisha madarasa, anaweza kwenda kwao na kuandika series ya maisha ya Wamasai akawa millionaire kama mtunzi wa Harry Potter.

Beberu kwake kila kitu ni fursa. Nilipomuona alivyotengeneza mataulo ya kina mama, ile kichwa siyo.
kwa hiyo yeroooo anapigwaaaa pakubwaaaaa sana.
 
Anaonekana kuyafurahia maisha sana.
Wazungu wana ile wanaita unconditional love.
Huyo mzungu utakuta anamagonjwa ya zinaa sema waafrika hatuelewi ushamba umetujaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio maana tunakufa na ukimwi
 
Anajililisha kana kwamba anauhurumia ulimwengu, kumbe anasikitika kuwa anamaliza lini project yake arudi zake ujerumani.
 
Huyo mzungu utakuta anamagonjwa ya zinaa sema waafrika hatuelewi ushamba umetujaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio maana tunakufa na ukimwi
Kwaiyo wenzetu wao hawafi na ukimwi?
 
Dada wa kizungu aamua kufunga ndoa na mwanaume wa kimasai na kuishi umasaini. Yeye anasema ni mapenzi baina yao ndio yanapelekea kuwa pamoja kwa muda wa miaka tisa.

Je, yaweza kuwepo sababu zaidi ya kupendana? Je, yaweza kuwa kuna kikolombwezo cha mapenzi yao? Au ule mtindo wa jando?

Kila mtu anakuja na jibu lake ngoja nisikomenti chochot kwanza.
 
Hivi masai ni mnyama? Huyo mzungu aelezwe wenzake wengi wameolewa na wamasai na sisi wamatumbi, hiyo si habari
 
Ni jambo la kawaida sana Wamasai nao ni binadamu kama binadamu wengine.
 
Mbona wanawake wa Poland wapo wengi tu walioolewa hapa bongo.
 
Yule mrusi wa Naliendele sijui yupo, alikuwaga best yangu kweli
 
Back
Top Bottom