zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
haba-habatically
Bora umpe vidonge vyake shem huyu mwanaume anajiona chokleti loh!!
Kijana naona nidhamu imerudi. Naona ushaanza kutambua umuhimu wa Baba V kwenye mahusiano!
Bora umpe vidonge vyake shem huyu mwanaume anajiona chokleti loh!!
Nimeipata kaka..nimeitia "muhuri"
umeridhiaBora umpe vidonge vyake shem huyu mwanaume anajiona chokleti loh!!
Nadhani kijana alikuwa anashauriwa vibaya na akina Chocs , ummu kulthum , Nivea , Excellent , Mamndenyi na Vin Diesel ... Naona kwa sasa amejitambua ... vizuri sana..