Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Namba zake sinaga kuna nilipoteza katika mambo ya kubadilisha simuAtakuja PM
BTW ukisema out of JF nadhani unazungumzia through phone au emails or anything out of here.
Umemtafuta huko?
Ningeshaona maana mwandiko wake naujuaAtakuwa na ID ingine....
Haya subiri atakuja.Ningeshaona maana mwandiko wake naujua
Uyu mdada kapotea sana siku nyingi sijamwona jukwaani sijui uko alipo yupo katika khali gani we used to communicate out of jf but we didn't succeed to see each other live and direct.
Popote ulipo nakumis sana jovitha.
Dah hiwezekani alikuwa bado mdogo yuleKaolewa Mkuu na mume wake mkali sana hataki aje humu na hataki mawasiliano na watu wasiojulikana.
😱😱
Namba zake sinaga kuna nilipoteza katika mambo ya kubadilisha simu
Ukishakua mke wa mtu au mume Wa mtu kuna umuhimu wakupunguza mazoea ya jf.Kaolewa Mkuu na mume wake mkali sana hataki aje humu na hataki mawasiliano na watu wasiojulikana.
😱😱
Ukishakua mke wa mtu au mume Wa mtu kuna umuhimu wakupunguza mazoea ya jf.
Kweli kabisa ...wake na waume za watu hawatakiwi huku kabisaUkishakua mke wa mtu au mume Wa mtu kuna umuhimu wakupunguza mazoea ya jf.
hahaaaAtakuwa yuko kwa shithole..
hahaaa umemijbu dry aiseeAcha ujinga wako wewe! Mind your business.
KabisaKweli kabisa ...wake na waume za watu hawatakiwi huku kabisa
HahahaAcha ujinga wako wewe! Mind your business.