I miss you jovitha my birthday mate wa jf:

Bado sijahamia rasmi... Lazima nkuite ucheze kwaito!!!!

Sichazagi kwaito huwa napenda kuwa kwny vikundi vya watu wanaopewaga zile keki siwezi kwenda kwny harusi nisibebe keki
 
Ewaaaa
Wanakamati eeeh!!! Usijali keki ntakupa yako mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom