I miss you jovitha my birthday mate wa jf:

Swahiba wako BAK kama umjuavyo hapendi ujinga ujinga. Mtu hana mamlaka yoyote humu, hanijui simjui halafu anataka kuniamulia humu wapi niandike, nini niandike na wakati gani niandike utadhani niliwahi kumuomba pesa ya bundle.

BAK Ujue Emmy ameyazowea haya kule kwenye lile jukwaa la maudhi. Sasa leo hadi huku. Mmh.

Usiwe hivyo bana BAK.
 
Swahiba wako BAK kama umjuavyo hapendi ujinga ujinga. Mtu hana mamlaka yoyote humu, hanijui simjui halafu anataka kuniamulia humu wapi niandike, nini niandike na wakati gani niandike utadhani niliwahi kumuomba pesa ya bundle.
Haya bana rafiki. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom