Hahaaaa. Duuh.Ukishakua mke wa mtu au mume Wa mtu kuna umuhimu wakupunguza mazoea ya jf.
Sawa mume wa mtuWale wake za watu kuna ujumbe wenu huku
Mzima Mimi...LOL! I know tena with a very big lens. Mzima weye?
Haya bana rafiki. [emoji124] [emoji124] [emoji124]Swahiba wako BAK kama umjuavyo hapendi ujinga ujinga. Mtu hana mamlaka yoyote humu, hanijui simjui halafu anataka kuniamulia humu wapi niandike, nini niandike na wakati gani niandike utadhani niliwahi kumuomba pesa ya bundle.
Sawa mume wa mtu
Mzima Mimi...
Mbona ukorofi wako tena my kaka
Ndio MkuuNaww umeolewa?!
Sawa MkuuSipendagi ujinga ujinga mie.
Ndio Mkuu
HahahaWatu walicheza kwaito kbs?!
Karibu tenaShukrani sana kwa kunielewa.
Hahaha
Nasubiria kwaito tuu sasa
Hutaki au?!
Hutaki au?!
Bado sijahamia rasmi... Lazima nkuite ucheze kwaito!!!!Umejimuvuzisha bila kukata keki