Bado sijahamia rasmi... Lazima nkuite ucheze kwaito!!!!
EwaaaaSichazagi kwaito huwa napenda kuwa kwny vikundi vya watu wanaopewaga zile keki siwezi kwenda kwny harusi nisibebe keki
Ewaaaa
Wanakamati eeeh!!! Usijali keki ntakupa yako mwenyewe!!
Sio rahisi!!!Sawa bt bibi harusi asiwe mjamzito tu
Sio rahisi!!!
Hilo cheko veeepe!!!Hehehehe
Hilo cheko veeepe!!!
Ko unataka kusema mie ni mama K....C unajifanya kukataa
Ko unataka kusema mie ni mama K....
Niambie mmoja hebuVijana wa cku hizi mna misemo yenu
Niambie mmoja hebu
HahahaMnatest mitambo
Hahaha
Sasa kutest ndo inase jamani!!!
HahahaMnatest nn sasa km hamtaki kuangalia km viungo vyenu vinafanyakazi
MmmhKweli kwny miti hamna wajenzi
Mmmh
Chovya humaliza buyu la asali
Mie siogopiAsali haiishi kwa kuchovya...vijana wa kileo mnaogopa sn mimba
Mie siogopi
We si umesema hadi kwaito jamaniiUnasubiri nn sasa