Unalaza damu...shauri yakoWe si umesema hadi kwaito jamanii
Mie nafuata ushauri wako ujue, halafu unaweza beba jamaa akala kona!!!!Unalaza damu...shauri yako
Mie nafuata ushauri wako ujue, halafu unaweza beba jamaa akala kona!!!!
Namuamini but sio kumpa mtoto kabla ya ndoaHumuamini?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuamini but sio kumpa mtoto kabla ya ndoa
HahahaHuko ndio kutomuamini kwenyewe
Hamna lolote upo 50/50Hahaha
Aki namuamini saana
Usiniwekee maneno kwa mdomo aki.... 100/100!!!Hamna lolote upo 50/50
HeheheheheUsiniwee maneno kwa mdomo aki.... 100/100!!!
Lakini mtoto NO.... Kwaito kwanza
Kweli kabisa.Ukishakua mke wa mtu au mume Wa mtu kuna umuhimu wakupunguza mazoea ya jf.
Hunter mimi nipe tu ya Carba siku hizi nasikia eti upo kwa jjNikupatie number yake mkuu.
Ayaaa kumbe ndo we Asee umenitenga sana si ungesema vp Michael wako mzimaNow nimebadili jina si jovitha tena...
Tajirimsomi