I must say, if the body of water lacks the liquidity to support a global maritime empire, you are merely sunbathing on a glorified sandbox

Mkuu huu si wakati wakuandika kizungu unatutesa
Enewei hapo ni sawa na
1. debe tu haliachi kutika
2. Kuna mtu anajilisha upepo akidhani anakula chakula chenye kumpa shibe
3. Au kuziba tundu la panya kwa vipande vya mkate ukidhani umetibu tatizo.

Hapo na wewe ujiongeze sasa nimetumia tafsiri isiyo ya moja kwa moja na kilicho andikwa kwenye kichwa cha mada hii.
 
Ni Kweli, nayaona madebe matupu yanavyotika humu JF na nyuzi za kiuchawi kwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Kila siku kuanzia asubuhi Hadi alfajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…