If I were you sio lazima awe na degree. Mi mme wangu nimepita mbali ki elimu japo nimkubwa kwangu six years. Ila ananipenda ananieshimu sana kila kitu lazima anishilikishe maana anajua IQ inasoma. Imradi mpendanne.
Alaf katika research yangu ndogo kwa marafiki zangu nimegundua kama wote wasomi uhusiano mara nyingi haudum. Alaf hata kwao full respect.
Alaf katika research yangu ndogo kwa marafiki zangu nimegundua kama wote wasomi uhusiano mara nyingi haudum. Alaf hata kwao full respect.