I need a boyfriend

I need a boyfriend

Status
Not open for further replies.
0786133416 nitafte kwa namba hiyo vigezo vyote ninavyo
 
Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Nakushauri tu..humu ndani hatununui makinikia kwenye kontena.kwa miaka uliyonayo tayari n magharibi hiyo.jioe mwenyewe itakuwa bora zaid.cha kujiuliza mpaka wa mtaani kwako na majirani wa mtaani kwako wote wamekususa daah!!.mpaka umekuja humu!!!!wallah utajioa au ugegedwe kisha wakubwaghe kama loli la makinikia bandarini
 
Wewe kaka shindwa na maneno yako ya kishetani hayo..........haujui nataka nini mpaka nimekuja kuandika hapa....
 
Vigezo vimegoma, labda ingekuwa KKK tu.😉
 
Wewe kaka shindwa na maneno yako ya kishetani hayo..........haujui nataka nini mpaka nimekuja kuandika hapa....
Yesu wangu....sina uhusiano na shetani wallah.labda kama shetani kakuchelewesha hapo sawa.kitendo cha kuandika haya,tayar umechelewa.hizi ndo tabia zako wewe na shetani.kwa hiyo mshindwe wewe na shetani aliyekuchelewesha mie simo ohooo.hahahaaaaa shetan wa kuchelewesha watu mbaya sana.anaweza akakuchelewesha hata airport wallah.
 
Nimegundua wewe haujielewi yani nimeshindwa kuelewa point yako.......nimekusamehe bure
 
Huwezi kuelewa point yangu mpaka utapojijua umechelewa.hili la kutowagundua watu ama point litakuzeesha.maana n tabia yako.ona sasa una 28 unatafuta jf wa kukustiri.mtafute humu humu kimya kimya uone kitakachokupata.
 
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Weka vigezo vyako kwanza tukakuelewa watu tupo hapa n
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom