Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maksai ndo nini ?Unakua kama maksai vile.
😂😂😂😂Hakuna mwanaume hapa, mwandiko ni wakike sana
Niaje ManChild free man here I come
Ni poa kiongoziNiaje Man
😂😂Mungu Ni MwemaNi poa kiongozi
Vipi na wew ni child free man?
Hayo ndio mambo napendaga mimi😂😂Mungu Ni Mwema
Free kabisa mimi hujakosea.
Vp nisubiri PM au ?
Hata account yang Ni free from privacy settingsHayo ndio mambo napendaga mimi
Haya fungua piemu hiyo nizame mie
😆😆😆😆😆niandalie sehemu mana ntaka nidumbukie hapo chapHata account yang Ni free from privacy settings
😂😂 ila wewe .. yaani unanipiga Chai asubuhi yote hii😆😆😆😆😆niandalie sehemu mana ntaka nidumbukie hapo chap
Aaahh bas we hauko serious nimeahirisha zoezi na nlkua naandika heading ya piemu hapa…😂😂 ila wewe .. yaani unanipiga Chai asubuhi yote hii
Naskia badoo kuna machangudoa tuPole wanawake wa huku ovaries zetu hutwerk sana so I can say most tunapenda watoto
Jaribu BADOO huko mtaendana
Nini kinakufanya useme hivyo ? Mimi nahitaji kuoa sio kuchezea kama wewe unavyohisi. Ila nahitaji mwanamke ambae ni childfree by choiceMchakata Mbususu anatafuta mchakatwa Mbususu.
Kazi kazi kazi.
Namaanisha ninyi kazi yenu itakuwa moja tu kunyanduana hakuna likizo ya uzazi wala mtoto ana homa nk.Nini kinakufanya useme hivyo ? Mimi nahitaji kuoa sio kuchezea kama wewe unavyohisi. Ila nahitaji mwanamke ambae ni childfree by choice
Nimekuelewa vizuri ndugu yangu. Asante kwa kunitakia heri!.Namaanisha ninyi kazi yenu itakuwa moja tu kunyanduana hakuna likizo ya uzazi wala mtoto ana homa nk.
Yaani mnapumzika labda siku nne mkeo akiingia period.
Kweli umeamua kula mema ya papuchi.
Kila la heri.!!
Nakuelewa sana, huku Afrika hii kitu bado, tumeaminishwa kuwa lengo la ndoa ni kupata watoto, kumbe sio kweli!Ndoa bila mtoto? Ya nini sasa, yaani niingie kwenye ndoa kupigwa tu p**bu...kudadeki
Ukhetamilag'ha!!Ndoa bila mtoto? Ya nini sasa, yaani niingie kwenye ndoa kupigwa tu p**bu...kudadeki