I need a friends from Tanzania

I need a friends from Tanzania

1502110480042.png


Sent From My Nokia Ya Tochi
 
YO! AM KIBOD3 24 male FROM Kentucky (USA) I wanna chat wit my fellow tanzanian b`coz am a tanzanian too i left since young so i wanna com back with my family @ the end of this summer so i need a friend to give me a company
NB i wil stay for 1month ......contact me thru
kingkibode@yahoo.com
snapchat;kingkibode
nawapenda

"YOU LEFT SINCE YOUNG" - MH MH MH ..... Haya, wahenga msaidieni mwenzenu...
 
Karibu sana mkuu, I am a Tanzanian who resides in Dar at Kwamtogole, the life in here is the real Kiswahili style, we are so comfortable in using pity latrine and sharing food in a big sinia.
792ae6b3ec4e065eb3e2d7a6e2268514.jpg


Sky Eclat unapotea muda na kujikwamua mpaka upoteze kwasababu ya huyu Mboyoyo wa hapo Kibaha,kama alivyosema mdau mmoja hapo juu labda yupo USA ya Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiongee taratibu hapana chezea kimara [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasahivi anatuletea swaga za




[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda biashara ya kuku ililipa akapata nauli ya kwenda usariver.
 
Labda biashara ya kuku ililipa akapata nauli ya kwenda usariver.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kwa zile biashara zake za kuungaunga hiyo nauli aliyodunduliza itakuwa iliishia kikatiti kabla ya kufika usariver
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kwa zile biashara zake za kuungaunga hiyo nauli aliyodunduliza itakuwa iliishia kikatiti kabla ya kufika usariver
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu muacheni USA baby!!
 
Hahaha kutapeli jf ngumu sana,mana unakutana na walokuzidi ujanja mara 100,ni bora kuzama pm uombe asist kimya kimya unaweza angalau ukaambulia dusko
 
Back
Top Bottom