nnunu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2011
- 654
- 230
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.
POLE SANA, ila nahisi muda huu utakuwa unajisikia vizuri kutokana na msg nzuri za wana JF,
HUZUNI na FURAHA vyote ni sehemu yetu ya maisha...hatuna budi kukabiliana navyo.
I LOVE YOU na NAAMINI WANAJF WENGI LOVES YOU vile vile.......