I need someone to talk

POLE SANA, ila nahisi muda huu utakuwa unajisikia vizuri kutokana na msg nzuri za wana JF,
HUZUNI na FURAHA vyote ni sehemu yetu ya maisha...hatuna budi kukabiliana navyo.

I LOVE YOU na NAAMINI WANAJF WENGI LOVES YOU vile vile.......
 
Asante Nnunu......hapa nilipo nimekuwa nikicheka na hata hali yangu ya huzuni imeanza kutoweka...JF ni family ya ukweli....niliamini kabisa kuwa nitafarijika na ndio inavyokuwa....ubarikiwe sana
 
mmmmh,XYLN.....
Kumbe na wewe hua una toa posts,...
well the last tym nimekuona ulinipa ban,so far am changed and i love you xyln
 
Preta mi niki feel vibaya hua nalala,....can you?
 
kuliko nije na TF mhandisi bora nisije nifanye maombi ya mbali,,,kwanini nisije na biggie?

TF anajua kushona vizuri......biggie ana hasira sana anaweza akanionea huruma hasira zikampanda akashona vibaya....
 
Preta mi niki feel vibaya hua nalala,....can you?

nikilala nikiamka nakuta mawazo pale yalipoishia ndio yanaendelezea hapo hapo....huwa napenda nikisikia vibaya nikisema kama hivi nakuwa released
 
nikilala nikiamka nakuta mawazo pale yalipoishia ndio yanaendelezea hapo hapo....huwa napenda nikisikia vibaya nikisema kama hivi nakuwa released

Okey,safi sana ujumbe wa xyln una nguvu sana,sina la kuongeza !
Be well
 
Thanks Xyln.....najisikia vizuri sasa baada ya faraja zote marafiki wapenzi mnazonipa....natumaini nitakapolala usiku wa leo kesho nitaamka nikiwa mwepesi na mwenye furaha kubwa.....nawapenda sana
 
TF anajua kushona vizuri......biggie ana hasira sana anaweza akanionea huruma hasira zikampanda akashona vibaya....
Hewaa sasa mamii kesho asubuhi naja ikibidi nitakaa hadi kuhakikisha unarudi katika hali yako ya kawaida
 
nikilala nikiamka nakuta mawazo pale yalipoishia ndio yanaendelezea hapo hapo....huwa napenda nikisikia vibaya nikisema kama hivi nakuwa released

pole sana Preta,
moyo wangu umenyon'gonyea kwa huzuni uliyonayo,
hebu furahi nasi pamoja!!si vizuri ukiwa na huzuni,
Kwani ni nini zaidi mpaka uwe hivyo?
 
pole sana Preta,
moyo wangu umenyon'gonyea kwa huzuni uliyonayo,
hebu furahi nasi pamoja!!si vizuri ukiwa na huzuni,
Kwani ni nini zaidi mpaka uwe hivyo?

asante sana Bacha.....mpaka hapa nilipo asilimia 50 za huzuni zimeshaondoka.....
mambo ya dunia hii ni mengi sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…