klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
dah! afazali hiyo red imenipunguza mahasira,BTW si unajua nimehusu sumbawanga switihati?, ukitaka jamaa tumpatie jipu la ufizi niPM, nakuhakikishia kesho ataamka ameota meno kwenye nyeti yake. hapa niko serious.usizimie swithat lotion.....moyo umeshashoneka mpaka sasa......wewe leta fila tu basi inatosha
Mbu wamekuzidi kete?khaaaa! mkiona kimya mjue nimezimia.
BJ njaa imenishika ghafla lolKaribu sana, Venice is a beautiful place..nitakuandalia hivyo vyote na zaidi, bila kusahau Lasagna na some Perugina ili easter iende vyema!!..
Ankal haujazamia kwenye sherehe ya Irish man Gareth Bale wakati anapewa tuzodah! afazali hiyo red imenipunguza mahasira,BTW si unajua nimehusu sumbawanga switihati?, ukitaka jamaa tumpatie jipu la ufizi niPM, nakuhakikishia kesho ataamka ameota meno kwenye nyeti yake. hapa niko serious.
Hi Preta,
Pole sana kwa kujiskia vibaya, I hope uko better baada ya kuona rafiki wa JF wanamobilize kukurudishia furaha yako. Na wewe piga sim, toka, nenda shoping etc. kila la kheri:A S 465::A S 465::A S 465:
hehehe sikiliza matangazo ya kifo kesho, kuna mtu atakufa kifo cha ajabu. hili litakuwa onyo kwa kila atakaeingia anga zangu including wewe, uporoto na ze finest.Mbu wamekuzidi kete?
Tupo nae hapa yaeda tunasuaza moyo wa Mwandisi, tatizo la mwandisi amekuwa down baada ya kushindwa kutafuta X kwenye mlinganyo. Tumesha mwonyesha X ilipo na sasa moyo mweupe raha tele anatafuta squre ruti ya Y! Yaeda raha banaMhandisi where did it go wrong it was all ok? kweli few minutes can destroy ure life, mtumaini mungu kwa kila jambo.
halaf jamaa anakuja kula lunch home yule huwezi kuamini.Ankal haujazamia kwenye sherehe ya Irish man Gareth Bale wakati anapewa tuzo
]Jamani mi sipendi kuona mtu hana raha![/COLOR]
Pole preta. Dah!
Hahaha ivi unajua sindano ni more effective ukilinganisha na tablets? Si tushamaliza kuweka fila kwenye heart ya preta we ndo unaamka?hehehe sikiliza matangazo ya kifo kesho, kuna mtu atakufa kifo cha ajabu. hili litakuwa onyo kwa kila atakaeingia anga zangu including wewe, uporoto na ze finest.
Mpigishe makandehalaf jamaa anakuja kula lunch home yule huwezi kuamini.
Khaaaaa!
usijali mhandisi.....ni mambo mambo tuu.....tutasemezana
Hahaha ivi unajua sindano ni more effective ukilinganisha na tablets? Si tushamaliza kuweka fila kwenye heart ya preta we ndo unaamka?