maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Paka kinyesi au haja kubwa mikononi mara kwa mara!Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?
Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo
Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0
Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano
Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?
Tupeane mbinu asee
@joanahCan't even imagine mwanaume anayekula kucha
kukata kucha za mikono kwa meno aseeIvi hua nikula kucha au kukata kucha za vidole vya mikono kwa meno ?
Kama unakula kucha acha hiyo tabia sio nzuri
Paka kinyesi au haja kubwa mikononi mara kwa mara!
Duuuh we ushawai kua mhanga?....Bro ukitaka kuacha kula kucha, chukulia iyo kucha ndo dushe la mwenzio . alafu ndo. uling'ate ng'ate kama huwezi kulingata ngata tumia hii principle ya jela.
Mgombeze mtu wako wa ndani anaye kupush ule kuchaUliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?
Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo
Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0
Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano
Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?
Tupeane mbinu asee
Mi napenda na sitaki hata kuacha.
Nimeshajua unacho waza...[emoji23][emoji23][emoji23]Can't even imagine mwanaume anayekula kucha