I nidi yua helpu

I nidi yua helpu

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?

Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo

Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0

Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano

Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?

Tupeane mbinu asee
 
Ivi hua nikula kucha au kukata kucha za vidole vya mikono kwa meno ?
Kama unakula kucha acha hiyo tabia sio nzuri
 
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?

Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo

Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0

Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano

Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?

Tupeane mbinu asee
Paka kinyesi au haja kubwa mikononi mara kwa mara!
 
....Bro ukitaka kuacha kula kucha, chukulia iyo kucha ndo dushe la mwenzio . alafu ndo. uling'ate ng'ate kama huwezi kulingata ngata tumia principle hii imesaidia wengi.
 
duuuh we ushawai kua m
....Bro ukitaka kuacha kula kucha, chukulia iyo kucha ndo dushe la mwenzio . alafu ndo. uling'ate ng'ate kama huwezi kulingata ngata tumia hii principle ya jela.
Duuuh we ushawai kua mhanga?
 
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?

Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo

Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0

Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano

Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?

Tupeane mbinu asee
Mgombeze mtu wako wa ndani anaye kupush ule kucha
 
Dah.... Tafuta plaster..zungushia....itatatua....[emoji41]
 
Back
Top Bottom