I nidi yua helpu

I nidi yua helpu

Kama hukurithi saa nyingine Kula kucha ni dalili ya "emotional or mental stress".
Inaonekana wakati unaogopa kitu, uko
nervous, anxious or feeling down. Unakula kucha ili kucope na hali hiyo.
Saa ingine unang'ata ukiwa bored, una njaa au hujiamini amini. Huwa ni automatic.

Kuzuia inabidi uwe unazitrim vizuri.ziwe ndogo.
Paka rangi zile chungu ili uking'ata unaacha(Kuna rangi zina taste mbaya).
Usome ni nyakati gani huwa unazikula ili utafute kitu kingine cha kuchezea kuhandle sitelesi.. au ufanye mdomo uwe busy kula bigi Jiii etc..
Weka malengo tafuta kucha moja uwe huikuli for a month.. then ukiweza unaongeza nyingine.. mpaka zote..

Ila ni kaziiiiii.... All the best
 
duuuh ngoja nijaribu japo kupaka rangi utata

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mwaume wa wapi mkuu?
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?

Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo

Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0

Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano

Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?

Tupeane mbinu asee
 
Mimi bado sijaacha na hapa natafuna kucha
 
Back
Top Bottom