Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hahahaha...Duh nawapenda sana wa hivo I wish ningekuona tu vile ukitafuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha...Duh nawapenda sana wa hivo I wish ningekuona tu vile ukitafuna
hii imeshakua tabia yangu asee yaan natafuna bila hata ya kupushiwaMgombeze mtu wako wa ndani anaye kupush ule kucha
Iyo njia nilijaribu lakini nilishindwa kabisa maana saikologikali najijuaDah.... Tafuta plaster..zungushia....itatatua....[emoji41]
Duuuhkata vidole
Mi napenda na sitaki hata kuacha.
Kinacho kupa hamu ndio ukigombezehii imeshakua tabia yangu asee yaan natafuna bila hata ya kupushiwa
Kinacho kupa hamu ndio ukigombeze
Duuuuh! Hiii nayo inaweza saidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Paka kinyesi au haja kubwa mikononi mara kwa mara!
duuuh ngoja nijaribu japo kupaka rangi utataKama hukurithi saa nyingine Kula kucha ni dalili ya "emotional or mental stress".
Inaonekana wakati unaogopa kitu, uko
nervous, anxious or feeling down. Unakula kucha ili kucope na hali hiyo.
Saa ingine unang'ata ukiwa bored, una njaa au hujiamini amini. Huwa ni automatic.
Kuzuia inabidi uwe unazitrim vizuri.ziwe ndogo.
Paka rangi zile chungu ili uking'ata unaacha(Kuna rangi zina taste mbaya).
Usome ni nyakati gani huwa unazikula ili utafute kitu kingine cha kuchezea kuhandle sitelesi.. au ufanye mdomo uwe busy kula bigi Jiii etc..
Weka malengo tafuta kucha moja uwe huikuli for a month.. then ukiweza unaongeza nyingine.. mpaka zote..
Ila ni kaziiiiii.... All the best
Hahahaha...
Utakua unazila sana. Mi huwa nazifuga halafu naanza kuzilaMi pia mwanzo nlikua naenjoy ila saiz kucha zangu zimefikia pabaya
Leo nimejitahidi kujizuia nisizile ila saizi nimejikuta nakula automaticallyUtakua unazila sana. Mi huwa nazifuga halafu naanza kuzila
Uliwezaje kuacha tabia ya kula kucha?
Nakumbuka nilianza kula kucha kutokana na aibu nliokua nayo kipindi iko ila kwa bahati mbaya ndo ikawa tabia yangu adi leo
Nimejaribu kuacha kwa mbinu tofauti tofauti ila bado hollah nascore 0
Kwa kifupi kucha zangu zimepoteza adi mwonekano
Ambae Alikua na tatizo hili alijiondoa vp?
Tupeane mbinu asee
Wewe ni mwaume wa wapi mkuu?