I quit employment after reading this story and have never looked backed since,

Chasha usidanganye watu ebu weka jina lako halisi na ulikuwa unafanya kazi wapi na ulivyoacha umfanikiwa kwa kiasi kipi hicho? usije kuwaingiza king vijana wenzako.

Naona unataka kuleta Ligi za Jukwaa la siasa hapa, Hebu rudia kusoma post yangu mwanzo hadi mwisho, utaelewa kitu hapo, na sidhani kama kuna mtu anaweza kudanganywa hapa, na huyo atakaye danganywa atakuwa ni mjinga, Swala la Ujasirimli linabakiakwa maamuzi ya Mtu binafisi huwezo ukaforce mtu kuwa mjasirimali, na hii ni kama Elimu tu ambayo inasaidia kujenga watu n wala haijapostiwa hapa ili watu waach kazi, Na ni bora ukaendelea na ligi kwenye jukwaa la siasa make huku watu wanazungumza jinsi ya kutengeneza pesa a si vinginevyo, huku hakuna ligi zaKubishana Ujinga,

Nazani utakuwa umenilewa vyema na hata nikiweka jina langu sidhani kama itakuwa imesaidia chochote, na kila mahali hapa Tanzania kuna wafanya biashara n wajasirimai so sehemu za watu kujifunza ni nying sana na watu wapo wa kuwamfano,

NA KAMA WEWE NIMOJA YA WAHANGA WA AJIRA USIWAKATISHE TAMAA WENGUINE, KWA SABABU NI KUPITIA NJI KAMA HIZI UNAWZA JENGA ENTREPRENERSHIP SPIRIT,

 

With employment there is a limit on how far you can go/succeed but with enterpreneurship The sky the limit
 

True Mkuu, Kuna mtalamu Entrepreners Mmoja aliwahi kusema, "Nitafutieni mtu mfanya biashara/Mjasirimali ambaye hajawahi kufail katika biashara na mimi nitawaleteeni watu zaidi ya Buku ambao hawajawahi fana bishara"

So kufeli kupo na hakutakaa kuishe
 
It is hard to fail, but it is worse never to have tried to succeed. In this life we get nothing save by effort.Theodore Roosevelt (1858-1919) 26th president of the U.S
 
Lives real failure is when you do not realize how close you were to success when you gave up. Anon
 
Hakuna ligi hapa bali kueleweshana tuzungumzie maisha ya sasa yenye changamoto nyingi forget hao walioacha kazi miaka ya 50's, kamwe simshauri mtu aache kazi ili aende kufanya uchuuzi.
 
Hakuna ligi hapa bali kueleweshana tuzungumzie maisha ya sasa yenye changamoto nyingi forget hao walioacha kazi miaka ya 50's, kamwe simshauri mtu aache kazi ili aende kufanya uchuuzi.

Hao unao waona wanafanya Uchuuzi ndo wanamaisha mijini, wewe unawazarau Mfano Mama Lishe lakini kwa Mwezianaufungia Profit inyo zidi mshahara wako, so wewe endeleakuzarau wachuuzi sijui wakina nani, wale wanafanya biashara zao halali hawaongozwi na mtu yeypte yule, wanaweza amka saa tanona kwenda kwenye mishe zao, Hebu wewe amka saa tano uone

Na kwa kifupi haijatokea na haitakaa itokee mtu aliye ajiriwaatoe ushauri Postive wa mtu kujiajiri, So sikushangai wewe unavyo sema kwa sababu ndo ilivyo wewe unawez shauri mtu jinsi ya kupambana ili aongezwe Cheo.

Na that is why washauri wa Biashara wanatakiwa kuwa na project zao kama shamba darasa la wanao washauri, na si mimi niajiriwe na kampuni ya kutoa ushauri na mimi niwashauri watu, ni kudanganyana
.
 
Wakatisha tamaa hawakosekani, na kama mleta maana alivyo sema ni vigumu sana kwa mfanya kazi kukupa ushuri wa kujijiri na atapenda wote muwe wafanyakazi ili muendelee kusota
 
Wakatisha tamaa hawakosekani, na kama mleta maana alivyo sema ni vigumu sana kwa mfanya kazi kukupa ushuri wa kujijiri na atapenda wote muwe wafanyakazi ili muendelee kusota

Ni kweli, Ila siko hapa kukonvise watu wafanye Ujasirimali, na some time hii elimu najitolea kutoa tu wala sifaidiki na chochote kile, na sitakaa nifaidike, na some time nimeona ni bora niwe kimya
 

My wife wangu will be the first victim


Ni kweli kabisa mkuu, my wife wangu hakuniunga mkono wakati naamua kuacha kuajiriwa 2009 na kujiunga na mwenzangu kufungua biashara yetu wenyewe, kuna wakati alifikia kusema nadanganywa, kuna wakati aliniambia kwa nini nisitafute hata kazi ya muda pale mambo yalipokuwa magumu zaidi, sikumsikiliza nilikaza buti.

Uzuri wa kujiajiri kwangu umekuwa ni pamoja na kubadili mindset yangu, wakati nimeajiriwa sikuwahi hata kununua tofali moja, lakini leo four years later ninaishi kwenye kibanda changu mwenyewe, naita kibanda kwa sababu ni nyumba ambayo haijaisha lakini sidaiwi kodi ya pango.

Bado sijafikia level ya kusema nimefanikiwa kwa sababu sijawa na stable income na wakati mwingine tunakosa hata hela ya kula especially kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka lakini naomba Mungu anisadie nisifikirie tena kurudi kuajiriwa. consultancy zangu ndogondogo zinanipa maisha kwa kiwango chake huku nikisubiri wateja wakubwa, ninaamini with time client database yangu itakuwa na mimi nitakuwana na success story ya kusimulia with humble and pride.

Mimi nafanya graphics, lakini mke wangu hajawahi hata siku moja kuangalia kazi yangu na kusema kama ni nzuri au mbaya yeye yupoyupo tu.
 
Mkuu hongera sana I am veryintrested, mkuu ni kweli kwamba kwnye kuacha kazi kuna Vikwanzo na Chalenge nyingi sana kiasi kwamba wengi wamefikia hapo wakashindwa kwa sababy ya Resstance, kuna kuwa na Upinzani wa hali ya juu kabisa kutoka kwa
1. Mke/Mme/Mchumba

2. Friends- Hawa huongoza kwa kushauri uachane na hayo mwazo

3. Ndugu hasa Wazazi- Wazazi mara nyingi huhofia kwamba huo ndo mwisho wa wewe kuwasidia, ni nani atakaye wasaidia tena make kijana/Binti/Mtoto wao anaacha kazi na kuingia kwenye Ujasirimali, Huwa kuna hudhuni ya hari ya Juu kabisa kwa uapande wa wazazi

3. Mke/mme- Hawa nao hupinga kwa sababu ya kuona kwamba wanaenda kuazirika, mtaani wataonekaje kama Mme wake hafanyi tena kazi?
NA HAPA NDO UJUE NI KWA NINI MKE/MME ALIKUPENDA NA MKAOANA

4. Wafanya kazi wenzako, hawa nao huweka ngumu kabisa na kukambia na kutoa mifano mingi sana ya watu walio shindwa katika biashara

ILA UAMUZI WA MWISHO KABISA UNAO WEWE MWENYEWE, EITHER KUSIKILIZ MKE WAKO, WAZAZI NA MARAFIKI NA KUACHANA NA HAYO MAWAZO AU KUSONGA MBELE,

Na hii ni kutokana na mfumo mzima wa Maisha, mimi siwezi walaumu wazazi kwa sababu mfumo wa Nchi ndo ulivyo na kila mtu anaamini kwamba maisha yako kwenye ajira na si kwingine kokote kule,

Na nikweli kwamba some time ukiwa na mwenzi amabye mnakuwa mnaendana inasaidia sana kwa sababu Wanawake huply sehemu kubwa sana katika mafanikio ya Biashara yako
,

"Many of life's failures are people who did not realize how close they were to success when they gave up." (Thomas Edison 1847 – 1931)
 
Hii ni story nzuri sana.Niliwahi kufanya kazi kampuni fulani then bahati ambaya wakati wa economic crisis ikafa.Ikabidi niingie ujasiriamali.Yaani kila ukikutana na mtu unamwambia sijaajiriwa hakuelewi.Ikafikia mpaka ndugu wa mke wanaanza kumuuliza mke wangu, huyu jamaa anafanya kazi wapi,wakiambiwa hajaajiriwa,anajishughulisha na nini?ana biashara, biashara gani? Akiwa tajia biashara yangu wanaaza, sasa anawezaje kuendesha maisha?Yaani ni upuuzi mtupu.Tulilelewa kwenye mfumo ambao mtu akiajiriwa ndio anaheshimika.Hasa ukiitwa manager au mkurugenzi.Wakati mtu unaweza kujiajiri na kupata fedha nzuri kuliko hata hizo ajira rasmi zinazotuletea umaskini tu.
 
Mkuu ndo Ujinga Ulioko chi hii, kuanzia Viongozi wanahubiri wananchi kujiriwa na wala hawahubri wananchi kuongozaUchumi wachi,
Ni kweli kila utakaye kutana naye baada ya salamu atakuuliza Unafanya kazi wapi? Ukienda ijijini nyumbani story ni hizo, kwa kifupi tumeaminishwa maisha ni kujiriwa Watu wamepata Marafiki hadi Wachumba kwa sababu tu ana kazi vinginevyo hakieleweki, na ndo hapo ukimwambia unataka kuacha kazi hakuelewi kabisa,

Tusha aminishwa kazi ndo mpango mzima na kwa Tanzana wanao Ingia kwenye Biashara ni wale ambao Bahati Mbaya hawakuiona Shule, au Walikimbia Umande, Biashara ni kwa mbao hawakusoma,

Kuna Rafiki yangu alitakaga kuacha kazi afanye Biashara, Wazazi wake walimfngia Safari kutoka Kijijini na waliapa kumulaani endapo angeendelea na huo Mpango na hapo ni baada ya KujazwaUjinga na wife wa huyo jamaa
 
Enterpreneurs r born or created! I thnk they r born! A true life story of my frend, he startd by selling plastic bags in k/koo around shop 4 almost 4-5 yrs nw he has a clothng shop in k/koo n he gets his gøods frm china! He z jst std seven! Y r a graduate, thnk how wil u reach where he z with your 2mil max salary! Entrepreneurshp z da only ticket to financial freedom! All billionaires worldwide r emplyers and never emplyees. TAFAKURI NA UCHUKUE HATUA, UCJE UKASEMA NNGEJUA IKAWA UMECHELEWA! Mh AKMA KALAGA BHAO. All da best Graduates. Tafuten mtaj in grups!
 

Mkuu nimependa sana Story yako na sory kwa Kuchelewa kuiona, Ni kweli Ujasirimali ni safari ndefu anayenye Milima, Tambarare na Miteremko,
Katika Safari ya Ujasirimali wapo ambao wanaanza na

1. Miteremko na Baadae Milima- Unaweza anza vizuri safari yako ila mwishono kabia ukaja kukutana na Vigingi vingi sana ambavyo either vinaweza kukupoteza kbasa au kukurudisha mwanzo, Chukulia Uafuga Kuku ukaanza vizuri ila baadae ukaja kukutana na janga la Ugonjwa a bao unaoa kuku wako wote kabisa,

2. iteremko na baadae Tambarare na baadae Milima- Hapa napo unaanza vizuri ila kadri mda uanvyo songa mbele unakuwa unakutana na vikwazovya hapa napale na mpaka kufikia stage mbaya sana

3. Milima, Tambarare na then Mteremko- Hapa ndo Wajasirimali wengi sana Duniani wamepitia, na unaaza safari kwa Milima, kitu ambacho kwa kweli hukatisha tamaa watu wengi sana, na hapa kuna kufilisika mwanzni kabisa, kukatishwa tamaa, ushindani mkubwa abisa sokoni na kazalika,

Ila hii safari huishia kwenye mtremko, Na wajasirimai wengi sana kama MUGUKU mweyewe alipitiahapa, watu kama Thomas Edson, Henry ford waote walipita hapa, Walianza kwa kufeli ila wakaishia kwa mafanikio mkubw sana na kuja kuwa mashujaa katika nchi zao na Dunia kwa ujumla

NINACHO TAKA KUSEMA NI KWAMBA SAFARI YA UJASIRIMALI NI NGUMU SANA, TENA SANA, NA INAHITAJI UVUMILIVU ULIO VUKA KIWANGO,

Wengine ndo tuko katika hii safari atuko kwenye Milima, Ila hatuwezi kata tamaa na kurudi nyuma kutafut njiaya mteremko, no ni kupanda polepole hata kama kw siku utapanda mita 30 inatosha kabisa na mwisho wa aiku utakuja kumaliaa mlima na kuanza mteremko
 
Ndugu Chasha nasikitika kuchelewa kuona uzi huu. Am encouraged by ur spirit, watu kama nyie ndo tunawahitaji kwenye jamii yetu ya ki tz unakutana na mtu anakuuliza umeajiriwa wapi...my foot.

Nilichojifunza waajiriwa perse wako kwenye a very limited circle of success financially. Wanafanikiwa professional wise lkn kimaslahi hamna kitu.
Mfano mdogo unakuta prof wa chuo analipwa 2m kwa mwzi na kusoma kote huko.
Ujasilia ndo mpango mzima ingawa si kila mtu anauweza
 
Last edited by a moderator:

Hujachelewa kwa sababu wakati ni sasa, bado unanafasikubwa kabisa, Ni kweli kabisa, 90% ya watanzania tunaamini maisha yako kwenye kuajiriwa, na huko ndo kuna kilakitu, ila kwa ukweli si sahihi, Kuajiriwa ni utumwa, mimi leo hii naweza fanya kazi zangu mchana kutwa na hadi usiku na nikalala nikaamuka hata saa nne, Ila si kwenye kujiriwa, hapo upende usipende utaamuka kwnda kazini na ukichelewa unakutana na Warning leter, mimi mambo kama haya ndo yananifanya nione kazi ni utumwa, hata kama kwenye ujasrimali kuna kuteseka sana poa tu,

Huyo mzee MUGUKU ambaye kwa sasa ni Marehemu kwa kweli sory yake ilinifnya nikalia sana, ilinifanya, si kulala siku mbili nikiwaza tu, ni story yenye ujumbe mzito kabisa, na kinacho takiwa ni kuufanyia kazi, bila kujalisha Ndugu, jamaa na Marafiki waakuona vipi,

Unaweza kuonekana kituko kwa ndugu, jamaa na marafiki, unaweza tengwa, unaweza kaliwa vikao, ila ipo siku watakuelewa tu, ipo siku watakuja kukuomba samahani,

So ndugu zangu inatakiwa kua na ujasiri, kuto kata tamaa, kufanya kazi kwa bidii sana, mara nyingine unaweza hata shinda njaa, some time, hata nguo unaweza vaa bila kuwa imepigwa pasi, wekendi kwako inaweza kuwa ni historia, viwanja kwao inawezakuwa ni sawa na kwena USA, kwa sababu ya kutingwa, ila ipo siku isiyokuwa na jina utakuja kukaa na kufurahia matunda ya kazi zako, mara nyingi kaika ujasirimal mafanikio huja baadae sana,

 
Weka condition kwamba Mungu aepushe matatizo kama vile magonjwa. Aliyeajiriwa na aliyejiajiri wanaachana mbali sana, akiongoza aliyejiajiri. Kila wakati aliyejiajiri yupo huru na ni mbunifu wa kazi zake. Siwapigi nyundo walioajiriwa ila ni utumwa wa aina yake, tuseme wa hiari.
 
Ujasirimali sio lele mama, Ujasirimali si kazi ya Kitoto, na nisafari ngumu kabisa yenye, Milima, mashimo, Miba na hatimaye mteremko, Mungu amurehemu MUGUKU alikuwa the real mjasirimali
In short ni ile njia nyembamba iliyonenwa na mitume,wenye courage tu ndio wataipita na kufika destination yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…