CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #41
Chasha usidanganye watu ebu weka jina lako halisi na ulikuwa unafanya kazi wapi na ulivyoacha umfanikiwa kwa kiasi kipi hicho? usije kuwaingiza king vijana wenzako.
Naona unataka kuleta Ligi za Jukwaa la siasa hapa, Hebu rudia kusoma post yangu mwanzo hadi mwisho, utaelewa kitu hapo, na sidhani kama kuna mtu anaweza kudanganywa hapa, na huyo atakaye danganywa atakuwa ni mjinga, Swala la Ujasirimli linabakiakwa maamuzi ya Mtu binafisi huwezo ukaforce mtu kuwa mjasirimali, na hii ni kama Elimu tu ambayo inasaidia kujenga watu n wala haijapostiwa hapa ili watu waach kazi, Na ni bora ukaendelea na ligi kwenye jukwaa la siasa make huku watu wanazungumza jinsi ya kutengeneza pesa a si vinginevyo, huku hakuna ligi zaKubishana Ujinga,
Nazani utakuwa umenilewa vyema na hata nikiweka jina langu sidhani kama itakuwa imesaidia chochote, na kila mahali hapa Tanzania kuna wafanya biashara n wajasirimai so sehemu za watu kujifunza ni nying sana na watu wapo wa kuwamfano,
NA KAMA WEWE NIMOJA YA WAHANGA WA AJIRA USIWAKATISHE TAMAA WENGUINE, KWA SABABU NI KUPITIA NJI KAMA HIZI UNAWZA JENGA ENTREPRENERSHIP SPIRIT,