I really miss Magufuli, kila nionapo video yake au picha zake machozi hunitoka

I really miss Magufuli, kila nionapo video yake au picha zake machozi hunitoka

al-baajun

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
283
Reaction score
209
Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.

Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine, aliipenda Africa yake, hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu.

He was a real legend, hakua muoga na alichukia sanaa mtu msaliti msaliti kama wapinzani.

Nammis sana,tena sana rest in peace anko magu.you're the real G.

E8NSWAzWQAkQSn1.jpeg
 
Ukitaka kuwakilisha hisia zako usiziweke general "watanzania wengi" ,sema wewe! Familia ya Kanguye,Ben saa8 ,waliotumbuliwa vyeti feki,waliporwa fedha zao kwa kigezo cha uhujumu uchumi,waliobomolewa nyumba kimara etc nao wanampenda?
 
Ukitaka kuwakilisha hisia zako usiziweke general "watanzania wengi" ,sema wewe! Familia ya Kanguye,Ben saa8 ,waliotumbuliwa vyeti feki,waliporwa fedha zao kwa kigezo cha uhujumu uchumi,waliobolewa nyumba kimara etc nao wanampenda?
Unamzingua Rais unategemea nini?unazinguliwa tu..
 
Utammisije mtu katili na mtesaji? Huu uovu ndiyo uliomfanya Mungu amuondoe duniani.
Na wafuasi wake wanaomuabudu nao wakae chonjo - wanaweza kuondolewa anytime!
Mtamkumbuka tu with time
 
Ukitaka kuwakilisha hisia zako usiziweke general "watanzania wengi" ,sema wewe! Familia ya Kanguye,Ben saa8 ,waliotumbuliwa vyeti feki,waliporwa fedha zao kwa kigezo cha uhujumu uchumi,waliobolewa nyumba kimara etc nao wanampenda?
Tupo 60m,watu 10,000 wakimuona mbaya waliobaki wote tulimpenda
 
Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.

Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini.
Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine,aliipenda Africa yake,hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu.

He was a real legend,hakua muoga na alichukia sanaa mtu msaliti msaliti kama wapinzani.

Nammis sana,tena sana rest in peace anko magu.you're the real G.View attachment 1884955
Kwamba?

"Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini."

Umasikini upi hali ilikuwa mpeleke mitumba Marekani?
 
Kwaheri Dad, Tanzania bado inakuomboleza
Nchi imeanza kutafunwa tena

Tanzania ipo kimya inakuomboleza magufuli,
Magufuli Baba kwanini umekufa umetuachia ukiwa usioisha?
 
Back
Top Bottom