I really miss Magufuli, kila nionapo video yake au picha zake machozi hunitoka

I really miss Magufuli, kila nionapo video yake au picha zake machozi hunitoka

Ukitaka kuwakilisha hisia zako usiziweke general "watanzania wengi" ,sema wewe! Familia ya Kanguye,Ben saa8 ,waliotumbuliwa vyeti feki,waliporwa fedha zao kwa kigezo cha uhujumu uchumi,waliobomolewa nyumba kimara etc nao wanampenda?
Ndiooo ni wengi angesema wote sawa
 
Utammisije mtu katili na mtesaji? Huu uovu ndiyo uliomfanya Mungu amuondoe duniani.
Na wafuasi wake wanaomuabudu nao wakae chonjo - wanaweza kuondolewa anytime!
Kwa bahati mbaya sana, sasa tuna serikali sikivu, tulivu na iliyotoa uhuru na usimamizi mzuri wa sheria, ikijali haki za raia LAKINI hakuna hata kesi moja iliyofunguliwa sasa ya kudai haki zilizopokwa wala fidia zilizozurumika! Nitaaminije kuwa kulikuwa na uonevu? Au uonevu na uteswaji ni kwakuwa walizuiwa kufanya michezo michezo na kunyagwa kisicho chao kihalali?

Kule tunakksifia kuna haki, wanafukua malalamiko ya miaka 100 iliyopita, tena wala si mtu anayehusika kwa namna yoyote, anaianzisha kesi na hukumu inatoka, kila mtu anaridhika.

Huku kwetu vipi? Mbona hatuingii mahakamani kuishitaki serikali, kuishitaki polisi? Kwanini wa vyeti feki watetewe na wanasiasa majukwaani tu, kwanini hawaendi mahakamani kuupata ushindi na kuiamuru serikali iwajibike kisheria?

Waliotumbuliwa, kama sheria zilikiukwa, hawana nafasi ya kudai haki itendeke sasa?

Si ni hii ndio serikali tuliyoitaka na kuiimbia mapambio ilipoingia madarakani?

Hima wananchi, twendeni mahakamani tukathibitishe uzalimu wa mwendazake kwenye hii serikali yetu pendwa.
 
Rais asikosolewe yeye ni nani? Hayuko juu ya sheria ,urais ni utumishi wa umma ,lazima akosolewe ,kama hataki kukosolewa aachie ngazi,anakosolewa Joe Badeni rais wa dunia ndio iwe pangu pakavu?
Umeona kilichomkuta makengeza?kutumia uhuru vibaya.
Wapinzani kama mnataka uhuru wa kutukana si muondoke nchini kwetu..nchi hampati mtabaki hivo hivo kutegemea miujiza ya mzungu.
Mpo wachache sana nchi hii,na hatutawapa nchi..niko radhi kufa kupambana mapinzani yasichukue nchi hii

Mmejawa chuki na makasiriko yasiokua na maana
 
Shetwani kama yule atakumbukwa na mashetwani wenziwe tu!

Kwa hakika:

IMG_20210513_200524_882.jpg
 
Umeona kilichomkuta makengeza?kutumia uhuru vibaya.
Wapinzani kama mnataka uhuru wa kutukana si muondoke nchini kwetu..nchi hampati mtabaki hivo hivo kutegemea miujiza ya mzungu.
Mpo wachache sana nchi hii,na hatutawapa nchi..niko radhi kufa kupambana mapinzani yasichukue nchi hii

Mmejawa chuki na makasiriko yasiokua na maana

Unasema wapinzani wana chuki wakati na wewe unaongea chuki kwa wapinzani ,hupo timamu kweli?
 
Kwanini nyie mnadhani hapa ni nchini kwenu wala si nchini kwetu?

Kwanini nyie msiondoke nchini kwetu?
 
Aaah wewe polepole lazima umkumbuke si ulikuwa unacheza ikulu pale muda wote.
Polepole is real G pia,namkubali sana polepole ni mtu wa msimamo kama Legendary mwenyewe..he is not a coward
 
Unasema wapinzani wana chuki wakati na wewe unaongea chuki kwa wapinzani ,hupo timamu kweli?
Haya nenda cnn kalilie wazungu upate hayo madolari..mnajifanya mnatetea wananchi kumbe mnapambania matumbo yenu na kua vibaraka wa wazungu.
 
Kwanini nyie mnadhani hapa ni nchini kwenu wala si nchini kwetu?

Kwanini nyie msiondoke nchini kwetu?
Nyie nchi yenu si inaruhusu kuwatukana viongozi na kujifanya mna uhuru wa kuongea?

Hii ni nchi yetu,na CCM ndio chama cha watanzania..sipati picha nchi ikiwa mikononi kwa waapinzani..tunauzwa mchana kweupee
 
Nchi yetu sisi ni hii hapa na waasisi wake hawa:

IMG_20210707_084839_278.jpg

IMG_20210707_085335_184.jpg

Nyie tafuteni yenu. Yenu haiwezi kuwa hii!
 
Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.

Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini.
Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine,aliipenda Africa yake,hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu.

He was a real legend,hakua muoga na alichukia sanaa mtu msaliti msaliti kama wapinzani.

Nammis sana,tena sana rest in peace anko magu.you're the real G.View attachment 1884955
Sema baadhi yenu yaani wewe na akina Sabaya,Makonda, Pole pole na Bashiru ndio mnamkumbuka maana mlikuwa mnanufaika na aina ya utawala wake.
 
Pole mjane, Mungu atakupatia bwana mwingine kama Magufuli
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom