Unamzingua Rais unategemea nini?unazinguliwa tu..Ukitaka kuwakilisha hisia zako usiziweke general "watanzania wengi" ,sema wewe! Familia ya Kanguye,Ben saa8 ,waliotumbuliwa vyeti feki,waliporwa fedha zao kwa kigezo cha uhujumu uchumi,waliobolewa nyumba kimara etc nao wanampenda?
Tupo 60m,watu 10,000 wakimuona mbaya waliobaki wote tulimpendaUkitaka kuwakilisha hisia zako usiziweke general "watanzania wengi" ,sema wewe! Familia ya Kanguye,Ben saa8 ,waliotumbuliwa vyeti feki,waliporwa fedha zao kwa kigezo cha uhujumu uchumi,waliobolewa nyumba kimara etc nao wanampenda?
.I will,hata wewe with time mtamkumbuka tu
Kwamba?Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.
Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini.
Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine,aliipenda Africa yake,hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu.
He was a real legend,hakua muoga na alichukia sanaa mtu msaliti msaliti kama wapinzani.
Nammis sana,tena sana rest in peace anko magu.you're the real G.View attachment 1884955
Unamzingua Rais unategemea nini?unazinguliwa tu..
Tupo 60m,watu 10,000 wakimuona mbaya waliobaki wote tulimpenda