I saved a staggering $240,000 in transport of cargo from Uganda to Tanzania in a period of 6 weeks 😳.

I saved a staggering $240,000 in transport of cargo from Uganda to Tanzania in a period of 6 weeks 😳.

Kujifanya kujua kwingi kutakuabisha pole pole tu

Fisrt Expain how this is possible
KJ3D1idUDni99S8stfXoEJDvRgYF1Ldz1jwo6Z9q7ew.jpg




Alafu ukimaliza uniambie huko S.Sudan kuna barabara ngapi. zote zinafikia kule kwenye kambi za IDPs? Kila mwezi kuna tani elfu kumi husafirishwa na ndege kwa haya maeneo, hii si emergency aid.. Hii ni sustainable food supply kwa kambi hizi....

Tena istoshe Total food aid to South Sudan kulingana na WFP website ni 50,000 Tonnes per month Ambayo ni 600,000 tonnes kwa mwaka.... Kwahivyo hii debade ya food aid ni irrelevant na ulidanganya uliposema kwamba hii biashara ya WFP ni muhimu kwa Kenya... WFP wamekua wakitumia route ya Tz, Kenya, Dgibouti, Sudan kufikisha chakula huko South Sudan ... Kenya inasafirisha zaidi ya 4 Million tonnes to South Sudan kupitia Bandari ya Mombasa meaning hio Food Aid hata tukaikosa yote hamna wasi....
But after 2015 WFP moved her activities from mombasa to Dar. Most of grain activities passes through Dar. Mind u I worked with WFP in Northern Kenya before.
 
Wakenya watapata taabu sana

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Back
Top Bottom