I smoked weed, nothing happened

Karatasi za biblia hazizingui?Vipi za kawaida zina madhara gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi tangu amejaribu...hajawahi onekana....humu jamvini
 
Wewe nunua oavket ya sigara. Kila unapotaka kuvuta toa tumbaku jaza mmea deal done
That's what I always do Hommie.
Ndo maana huwa sifananii warandukaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚βœŒοΈ.
Lips na Vidole vipo kawaida ,Labda macho Tuu
 
Naona unacheza na huu mmea.
Kuna siku nilijifanya tester tukapelekwa na demu moja kwenye bar moja iko masaki kama sikosei.

Kitu kikaja, nikajidai kuonja nilipiga pafu kaza nikasema hii famba tu.

Danika kumi nyinyi, nikaanza kuona manyota nyota.

Kilichofuata nakikua mimi
 
Angalia muandiko wako tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…