I smoked weed, nothing happened

I smoked weed, nothing happened

Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha nikawasha AC then nikawasha mmea nikapiga mbili lakini hakuna kilichonitokea na wala siku hisi any vibe na moshi nilikua naumeza pia. This is overated shit wazeee
itakua wew si mvutajii raha ya kitu ukitoe mwenyewe,,,,,
 
Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha nikawasha AC then nikawasha mmea nikapiga mbili lakini hakuna kilichonitokea na wala siku hisi any vibe na moshi nilikua naumeza pia. This is overated shit wazeee
Mkuu Wee endelea tuu kuvuta ,ipo siku itakuchezesha alafu urudi jamvini kutupa mrejesho😁
 
Wakuu taangu jana nilikua katika trials kuchek what it feels mtu akivuta bangi nikaenda kwa mwana kununua halafu akaninyongea kabisa nikarudi geto mida ya saa 3 jioni nikafungua mlango kisha nikawasha AC then nikawasha mmea nikapiga mbili lakini hakuna kilichonitokea na wala siku hisi any vibe na moshi nilikua naumeza pia. This is overated shit wazeee
Mie hii mada na Avatar yako tu mkuu 😅
Nimecheka saana!

Everyday is Saturday................................😎
 
kiwalani leo wameniuzia kete mia400...halafu kidogo kichizi au ndo bei za dar??Yaani hiyo kwa moro ningepata mbili tena kubwa kubwa zaidi...Au wamenipiga?
 
Back
Top Bottom