Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
HahahahaYuniki Fulawa nini kimekupata katoto kazuri ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaYuniki Fulawa nini kimekupata katoto kazuri ?
Ndio imenitokea
Funguka usaidiwa, Changamoto ndizo huimarisha watu.Natimiza kiapo kuanzia sasa
😀😀😀😀😀Umeeleweka,
Kwani alikubaka?
Nimeamua tu shoga angu ungekuwa nakujua kiundani ningekuambiaAah switi candy kimekupata nini shogile🥰
Hela sio mapenzi halafu hakuna kitu kibaya kama baada ya shoo umwambie mpenzi wako , naomba pesa hujajipanga kuwa unaenda wapi kwa naniInaonekana kuna mwamba kala mzigo kabla ya kuanza kuhonga, halafu akatokomea bila kutoa hata mia, kongole kwake.
Ni Wachache sana wenye akili kama hiyo.Hela sio mapenzi halafu hakuna kitu kibaya kama baada ya shoo umwambie mpenzi wako , naomba pesa hujajipanga kuwa unaenda wapi kwa nani
Sasa ni mimiNi Wachache sana wenye akili kama hiyo.
Huku hapana nasemaga napewa maneno yanaumiza moyoFunguka kidogo mkuu kwa kifanya hivyo utakiwa umetupa somo la kujifunza.
Ok hongera sana.Sasa ni mimi
Hongera ya nini sasa???Ok hongera sana.
Kuwa mmoja kati ya WachacheHongera ya nini sasa???
Aha kawaidaKuwa mmoja kati ya Wachache
Nimeona umeniita kule nina banAha kawaida
Kitu KizitoTofauti ya kuwa msomaji wa jamii forum sintokaaa kuanzisha mada yeyote especially kimapenzi .
Nitakuwa na changia mada tena ikinibidi kuna kitu kimenitokea thats why.
Good day
Bwana pendapenda 🔥😂😂😂Pole dada.
Kutendwa kwenye mapenzi ni jambo la kawaida. Mimi Bwana Pendapenda ndiyo nina mkosi kabsaaaa!!. Kila mwanamke ninayeanzisha naye mahusiano baada ya siku 2 tu ananifungia vioo, namba zangu wanafuta na meseji hawajibu.
Mbaya kuliko zote juzi kati kuna mwanamke kaniomba simu yangu halafu akafuta namba yake. Akaniambia "namba yangu nimeifuta kwenye simu yako, halafu tuone kama utanisumbua"
Sijatendwa mie.wala nimaamuziPole dada.