I surrender kabisa

I surrender kabisa

Inaonekana kuna mwamba kala mzigo kabla ya kuanza kuhonga, halafu akatokomea bila kutoa hata mia, kongole kwake.
 
Hela sio mapenzi halafu hakuna kitu kibaya kama baada ya shoo umwambie mpenzi wako , naomba pesa hujajipanga kuwa unaenda wapi kwa nani
 
Pole dada.
Kutendwa kwenye mapenzi ni jambo la kawaida. Mimi Bwana Pendapenda ndiyo nina mkosi kabsaaaa!!. Kila mwanamke ninayeanzisha naye mahusiano baada ya siku 2 tu ananifungia vioo, namba zangu wanafuta na meseji hawajibu.

Mbaya kuliko zote juzi kati kuna mwanamke kaniomba simu yangu halafu akafuta namba yake. Akaniambia "namba yangu nimeifuta kwenye simu yako, halafu tuone kama utanisumbua"
Bwana pendapenda 🔥😂😂😂
 
Sijatendwa mie.wala nimaamuzi
 
Back
Top Bottom