I Sympathize with Habib Kiombo Simba mmemkosea sana Habib Kiombo


Pumba tupu. Hayo mambo ya kipuuzi unayoyaita Siasa za Simba na Yanga zimetufelisha miaka nenda rudi, hazina tija yoyote zaidi ya upuuzi mtupu
 
sioni kosa la Ahmed. wachezaji wote wanastahili same promo. Tz ina strikers wa kigeni zaidi 10 ila top ni Mpole. Hatuwezi kuendelea kutukuza wageni na kupuuza kina Kichuya

Nakubaliana nawe 100%!
Tuache kuishi kwa mazoea .By the way, hizo anazoziita siasa za Yanga na Simba zimetufikisha wapi zaidi ya upuuzi tu. Msikilize huyu mzee, fact tupu[emoji116]

 
Simba wangeacha Yanga wamalize swala lao
 
Kwani dirisha la usajili limefungwa?
 
Tumewakosea nini sie jobless kila kosa ni letu!!
Mtasema hata kuoanda bei ni sisi tumeaababisha.
 
Iko powah sana , hii itamfanya apate hasira apambane uwanjani, huu utangazaji hauna shida yeyote
 

Simba haina Viongozi kwa Sasa. Mnawapa tension mashabiki halafu mnafanya ujinga. Kwa Sasa Viongozi wa Simba hawana jipya, wanawatumia mashabiki Kama chambo tu. Kuna kipindi Yanga walikuwa wanajifunza kwa Simba ila Sasa hivi Simba ndio wataanza kujifunza kwa Yanga.
 
Wanajua Simba wengi ni mbumbumbu, wanafanya watakavyo tu 🤣🤣🤣

Viongozi wanalijua hilo ndio maana hawana hofu. Wenzako wanamsajili mchezaji wa zamani wa ligi kuu wewe unatishia na kumsajili mchezaji wa kawaida asiye na maajabu. Kweli Simba imepatikana.
 
Wacha mawazo yako ya kimaskini. Kyombo ndio atakuja kuuwasha moto mumjue vizuri yeye ni nani.

Mechi 15, Assist 3,Goli 6.

Viongozi wa Simba sio wajinga wanajua wanachofanya, zaidi atalishwa na mafundi Chama na Kapama, mtulie.

Dah aiseee. Yale Yale ya nyoni.
 
Msemaji wa Simba ni zaidi ya mpuuzi.
Milikuwa namuona ana busara lakini nimeanza kuwastukia sasa karibu wote hapo Simba.
Wana mambo ya ajabu sana.Na nimeshawaambia wana Simba,haya masihara yataendelea hadi mwisho wa msimu.

Bora wewe umeliona mashabiki bado hawajashtuka, watashtuka msimu ukiisha.
 
Kwa kuwasajili wastaafu wa soka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…