I think I have to be active again in JF

I think I have to be active again in JF

Kwani nilitolewa na nani Ikulu? Nipo Ikulu tokea tarehe 22/4/1997 na tarehe naikumbuka na sijawai toka natokaga kikazi tu narudi
Kama hukuwahi kutoka basi Magufuli alikubana hukupata mwanya wa kuiba, leo wanarudi wezi wenzio ndio maana unashangilia, hii serikali yenu mnaichafua kwa spidi ya 5G huku mnashangilia kama mazuzu.
 
Bila ya khofu ya kuuwawa na mwili kutupwa Ruvu.
Huu ndio ule wakati kuna watu wanapiga simu ili watoe pongezi halafu hazipokelewi embu fikiria hiyo hali.🚶🚶🤣
502DFF6F-D8DF-4567-8FEF-FB0ABBF2CBA0.jpeg
 
Back
Top Bottom