I think I have to be active again in JF

Kwani nilitolewa na nani Ikulu? Nipo Ikulu tokea tarehe 22/4/1997 na tarehe naikumbuka na sijawai toka natokaga kikazi tu narudi
Kama hukuwahi kutoka basi Magufuli alikubana hukupata mwanya wa kuiba, leo wanarudi wezi wenzio ndio maana unashangilia, hii serikali yenu mnaichafua kwa spidi ya 5G huku mnashangilia kama mazuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…