I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

Jux

Senior Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
114
Reaction score
57
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje
 
hii sredi ilikuwepo, ikapotezewa, sasa naona mwenyewe kairudisha upyaaa...there must be something behind....kama vipi msituchoshe
 
Unatafuta ugomvi, subiri wenyewe waje...
 
...yeye mwenyewe atakuwa kishaona hii post na atajua la kufanya...
 
At last umekuja ukiwa more open....
Good.....
Wadada wengine watajifunza from you ....
 
mhhhh...umeona ile sredi ingine haitoshi, ukaanzisha nyingine???!!!.....mhhhhh!!!!! POLE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hii sredi ilikuwepo, ikapotezewa, sasa naona mwenyewe kairudisha upyaaa...there must be something behind....kama vipi msituchoshe
<br />
<br />
mbona umekuwa mkali hvyo. Lol.
Hebu muwezeshe huyo bibie aliyefall,.......
 
hii sredi ilikuwepo, ikapotezewa, sasa naona mwenyewe kairudisha upyaaa...there must be something behind....kama vipi msituchoshe

Kuna ulazima gani wa kupanga mipango ya kuanzishiana srediiii...!
 
Hii nayo mida yake inahesebika!!

Sasa huyo TF naye yuko wapi??? Hajui kwamba bahati haiji mara mbili??

MJ1, LD, Asprin, RR, St....Please niletee huyo mjuu aje akaone jinsi alivyobarikiwa na kutunukiwa leo, tena mchana kweupeee!!!
 
Kwa nini zinakuwa zinafutwa? Mbona zamani thread za aina hii zilijaa tele? Au hata inayoendelea sasa ya mtu alompenda AfroDenzi ipo hewani? Au kuna zaidi nisichokijua?
 
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje

Hujajua kutumia kitufe cha "Private Message au PM".
Omba watu wakuelekeze ili usichoshe wengine.
Ni mtazamo tu..
 
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje

Una vigezo vyovyote vilikuzamisha huko?
 
Back
Top Bottom