Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
<br />
<br />
mbona umekuwa mkali hvyo. Lol.
Hebu muwezeshe huyo bibie aliyefall,.......
tatizo wakiwezeshwa hawakawii kuheart break mtu.....sasa apambane tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />
<br />
mbona umekuwa mkali hvyo. Lol.
Hebu muwezeshe huyo bibie aliyefall,.......
wanawake tunaweza weza.
Tukiwezeshwa tunaweza.
angemp tu yatoshahii sredi ilikuwepo, ikapotezewa, sasa naona mwenyewe kairudisha upyaaa...there must be something behind....kama vipi msituchoshe
Hujajua kutumia kitufe cha "Private Message au PM".
Omba watu wakuelekeze ili usichoshe wengine.
Ni mtazamo tu..
sijui kama nafanya makosa kuwa open kuwa nampenda mtu fulani maana naona watu wananifikiria vibaya
Kwa nini zinakuwa zinafutwa? Mbona zamani thread za aina hii zilijaa tele? Au hata inayoendelea sasa ya mtu alompenda AfroDenzi ipo hewani? Au kuna zaidi nisichokijua?
Hawakumtendea haki kwa kuifuta thread yake ndo maana kaamua aanzishe nyengine :]
Hata mi nilishangaa imepotezewa, BUT kwa memba 'mpya' kuwa na uwezo wa kuanzisha nyengine within hours on the same subject, I am suspicious....
uliechoshwa usichangie, sepa, acha wengine waandike
Sijui kama nafanya makosa kuwa open kuwa nampenda mtu fulani maana naona watu wananifikiria vibaya
Sijui kama nafanya makosa kuwa open kuwa nampenda mtu fulani maana naona watu wananifikiria vibaya
Kaizer.....hata kama huyu ni memba mkongwe kama Kigagula na kuamua kufanyiwa facelift, haiondoi haki yake ya kuanzisha thread ya namna hii.
Ilipofutwa nafsi yangu walinikwaza, maana tumechangia kisha inafutwa bila msingi! Stahili yao kuanzishwa nyengine within hours 😀
hata mi nilishangaa imepotezewa, but kwa memba 'mpya' kuwa na uwezo wa kuanzisha nyengine within hours on the same subject, i am suspicious....
its called jeoulosy
gaijin hujagundua??????
Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje
Kumbe wewe mkaliiii..Uliechoshwa usichangie, sepa, acha wengine waandike