I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

Thredi ya kwanza ilifutwa na mudi bila ku-declare interest,, we bado unaanzisha nyingine, changanyaga na za kwako.

Sijui kama nafanya makosa kuwa open kuwa nampenda mtu fulani maana naona watu wananifikiria vibaya

hata hujafanya vibaya mpenzi.
Nyie watu mkoje kumsema jux. Alaaa!

The Finest usipoteze hiyo zali.

Thredi ya kwanza ilifutwa na mudi bila ku-declare interest,, we bado unaanzisha nyingine, changanyaga na za kwako.

Hahaha Kakajambazi ....you are insinuating that Jux anaingia kwenye maslahi binafsi ya Mod mmoja wapo eee!

Hahaha Kakajambazi ....you are insinuating that Jux anaingia kwenye maslahi binafsi ya Mod mmoja wapo eee!

hahahahah sasa apo Gaijin my dear umeshamwekea maneno mdomoni.....sasa hivi tutajikuta chitchat (if not already)

Vipi swaumu lakini? Ramadhan Kareem

Hahaha Kakajambazi ....you are insinuating that Jux anaingia kwenye maslahi binafsi ya Mod mmoja wapo eee!

Dada yangu labda mara ya kwanza nilikosea ndio maana wakaitoa, kama nimekosea naomba mniwie radhi

hahahahah sasa apo Gaijin my dear umeshamwekea maneno mdomoni.....sasa hivi tutajikuta chitchat (if not already)

lolz ........Likizuka panga la mod hapa mie naruka kimanga "simooooo"

mmh....Mbona we mwenyewe hujiamini....

hujaona thread langu nililomzimia desh desh eeh?

kwa nini we ndo uko kimbelembele sana kuitetea hii sredi.
Asiye na macho atakuwa ameona na asiye na masikio atakuwa amesikia sasa.

wote waliochangia humu
umeni pick mimi wa kunitukana na kuniita
nina kimbelembele sio?????????

Watch urself and watch ur mouth....
Usidanganyike kuwa uko mbali
some of us are capable of anything....
Hata ikibidi nitumie milioni kumi kukumata
na kukuonyesha exactly mimi ni nani...
Carefull

Back
Top Bottom