Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Sijui kama nafanya makosa kuwa open kuwa nampenda mtu fulani maana naona watu wananifikiria vibaya
Kumbe wewe mkaliiii..

kwa hili mnaweza bila kuwezeshwa

ni kujiamini tu
Thredi ya kwanza ilifutwa na mudi bila ku-declare interest,, we bado unaanzisha nyingine, changanyaga na za kwako.
Hahaha Kakajambazi ....you are insinuating that Jux anaingia kwenye maslahi binafsi ya Mod mmoja wapo eee!
hahaha kakajambazi ....you are insinuating that jux anaingia kwenye maslahi binafsi ya mod mmoja wapo eee!

tunajiamini sana. Si umeona jux anawakilisha. Lol.
Ikifutwa na hii tutaandamana lol
mmh....mbona we mwenyewe hujiamini....:coffee:
hahahahah sasa apo Gaijin my dear umeshamwekea maneno mdomoni.....sasa hivi tutajikuta chitchat (if not already)

mmh....Mbona we mwenyewe hujiamini....
Aongeze bidii ya kuchangia vizuri huenda na yeye akafunguliwa thread basi sio kujichovya kwenye raha za wengine!
Kwa nini we ndo uko kimbelembele sana kuitetea hii sredi.
Asiye na macho atakuwa ameona na asiye na masikio atakuwa amesikia sasa.
kwa nini we ndo uko kimbelembele sana kuitetea hii sredi.
Asiye na macho atakuwa ameona na asiye na masikio atakuwa amesikia sasa.
Maana nyie ndo wamiliki wa hii tovuti.