I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

Hiyo Avatar tu kichefuchefu

It was nice having you on this thread, you can go now

Ciao ciao

hahaha Gaijin. of all the things how come you judge a book by its cover? hao ni mawaziri wetu wakiwa kwen starehe...si Juma huyo akiwa sijui Mango garden?

hahaha Gaijin. of all the things how come you judge a book by its cover? hao ni mawaziri wetu wakiwa kwen starehe...si Juma huyo akiwa sijui Mango garden?

Yaani nikumuona huyo Kapuya hapo anavyontibua we acha tu.

Mtu hana class hata kidogo....yaaak!!

Hebu mtaje Lisa.......maana usife nalo moyoni bure...

Br we acha tu, maana kila siku namfikiria alivyo namtengeneza kichwani mwangu lkn mwisho ni kuwa ni wa aina gani mume au mke?
naogopa pia nami kiutaja kaka.

Br we acha tu, maana kila siku namfikiria alivyo namtengeneza kichwani mwangu lkn mwisho ni kuwa ni wa aina gani mume au mke?
naogopa pia nami kiutaja kaka.

Lisa mtaje tu.....Jux huyo hapo kamtaja sasa roho kwatu! Kwanini ujivunge? Kama ni mwanamke utapata kufocus pengine atii

Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje

how can you fall 4 someone you don't even know?

Mhhhhhh! LOL! Mzima Husninyo? Mie poa kabisa. Kuna uwezekano huyo mtu fulani tuna undugu naye wa karibu

Edward Maya & Mia Martina - Stereo Love - YouTube

mi mzima halafu na yeye ni mzee wa miyou tube. Dah! Nazidi kukufananisha.

Last edited by a moderator:
Yaani nikumuona huyo Kapuya hapo anavyontibua we acha tu.

Mtu hana class hata kidogo....yaaak!!

Ndo maana nimeondoka,
Na hili ndo bandiko langu la mwisho kwenye huu uzi kwa leo......naelekea kibaruani sasa hadi kesho...

nakuunga mkono ndugu, maana hata mm kuna member nampenda humu ndani sema ndiyo hivyo. sielewi kama ni mwanaume au la!

khaaa! Naona humu ndani kila mtu ana kichwa chake anachokizimia.

Lisa mtaje tu.....Jux huyo hapo kamtaja sasa roho kwatu! Kwanini ujivunge? Kama ni mwanamke utapata kufocus pengine atii

naogopa kumtaja maana mambo ya kibuti nomaaaaaaa! kwa hiyo mm nita m Pm tu ili tumalizane huko kwa huko.

wewe kama huna shauri lako

Lisa wewe unae lkn humtaji ....kazi bure tu.

Kibuti kitu gani kwani? Wamepigwa maraisi na wahubiri na haijawa neno, itakuwa wewe Lisa?

Huko PM ndo anaweza kukudanfanya japo mwanamke....shaurizo

Nimetokea kumpenda member wa hapa JF anaitwa The Finest ila tatizo ni kwamba simjui sielewi labda inawezekana akawa ni mume wa mtu vile vile ila kiukweli i have feelings for him ila sijui nianzeje

hii sasa balaaa....!!kwani wewe ni KE au ME?.mia

Sijui kama nafanya makosa kuwa open kuwa nampenda mtu fulani maana naona watu wananifikiria vibaya

Mmmh ww nawe umezidi kama wampenda si u pm mkutane ya nn kuchosha watu humu?ww kama humjui mm ntamjuaje! Nahisi ww ndo The Finest mwenyewe unakuja kutuzuga tu hapa. Mnalishushia hadhi hili jukwaa.

M PM muelewane kama yuko available au already booked utajua hukohuko.

Jux mama, home boy wangu atakuja hapa fasta usiondoke!

Mmmh ww nawe umezidi kama wampenda si u pm mkutane ya nn kuchosha watu humu?ww kama humjui mm ntamjuaje! Nahisi ww ndo The Finest mwenyewe unakuja kutuzuga tu hapa. Mnalishushia hadhi hili jukwaa.

Kaka yangu samahani sana usipende kufananisha watu

Back
Top Bottom