Ni vile tu hawajui ya huko baada ya kifo..!!Hivi watu wana uhakika kifo ndio muda wa mapumziko?
Halafu hao watoto unawaachia nani?? Kama wewe mzazi huna huruma na watoto wako, unategemea dunia itawaonea huruma?? Au ulimaanisha washikaji??wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Baada ya kukumbuka matatizo yangu na mleta uzi alivyoandika nikaona bora nicheke tu! Baada ya kujua siteseki peke yangu😂@ephen_ yeye ka-react anacheka kabisa.
Punguani Waheed.