Mboju
Member
- May 4, 2021
- 78
- 178
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu. Nimekuwa mpweke, zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewi ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa, kiukweli background watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana