I wanna be your main chick - Maua Sama

Yani huyo kidume hajui kuwa unatakiwa kuwa main chick ulivyo mtamu(based on your avatar[emoji39][emoji125][emoji125]) halafu usikubali kuwa side chick...
 

Kila nikikaa huu wimbo unanijia. Sijui kuna mtu natakiwa nimfikishie huu ujumbe aniupgrade niwe main chick au kitu gani.
Bibie wewe ndiyo main chick wangu so usiwe na pressure[emoji4]
 
Asipokusikia na wewe mfanye awe mchepuko wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…