Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa single muda mrefu kiasi kwamba muda mwingine nauacha mto wangu ulale Kitandani namimi nalala kwenye kiti ili iwe kama Mimi na mpenzi wangu tumenuniana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa mbili havai moja.Kumaanisha???
Be my main chick....Haya bwana
Na upone kweli bby..i want to see your smile as usual..Thank you bby.. naona nitapona sasa hivi..
Tatizo hunikubali...Haijatoka moyoni hii