Hii post imeniumiza sababu kuna mtu karibu yetu alikua anaongea hivi hivi kimzaha na tumempoteza.... Sometimes I wish tungechukulia serious, labda angekuwepo. Ganesh Comments za humu ndani zisikukatishe tamaa.... Yawezekana most wamechukullia mzaha sababu ni serious cases alafu umei-post Chit Chat. Lakini this is not a Chit Chating matter (atleast IMO).
Yawezekana umepost kwa kutania.... Ila naamini kabisa mtu mpaka ukapost kitu kama hiki ina maana somewhere at the back of the Brain ni kitu wafikiria..... Nimefurahi thou kua umei-post hapa JF (thou utapata kila aina ya Response ambazo ni negative and postive); for walau inatoa picha your dark thoughts...
Maisha ni magumu kwa woote usije fikiria ni wewe tu..... Na maisha Ganesh in not only about kuyafanikisha yaende vizuri. Ni beyond that, kuna families, friends, wakaribu wako na mengine mengi. Mafanikio yenyewe hayaji mara moja na wala hupewi na JK let alone kiongozi yeyote. Walofanikiwa wengi ni kwa kujiwezesha.... Na wala usitegemee kua kuja kwa Raisi mwingine maisha yatakua rahisi.... Asikudanganye mtu, yaweza kua hata worse. Hivo ukitegemea raise ndo akuboreshee maisha - mawazo ya kujiua yaweza chukua hatamu.
Najua hunijui sikujui.... But atleast we have one thing in common... Na hilo ni kwamba we are both members at JF, Na as your fellow member if you will allow me, let me be your ear.. nitakusikiliza na useme tatizo lako nini.... Ukiwa tayari if you don't mind naomba ni PM. If by any case waona ni usumbufu.... Usijali... wala usisumbuke... Naomba tu niseme I wish you all the BEST.
Pamoja Saaana
AshaDii.