Angalia isije kuwa wewe ndio una mental health problems kwa sababu huelewi empyrean views zake. Mwenzio ameshaona hana cosmic purpose yeyote ulimwenguni, anapata shida tu, halafu, mwisho wa siku anajua atakufa tu, tena labda kwa mateso ya njaa au li ajali la gari, akae Muhimbili kapasuka mifupa halafu afe vile vile. Kwa hiyo, usikurupuke kusema yeye ndio mental case.
Pia, kama unafahamu kwamba Ganesh ni Andrew Nyerere basi wewe nenda kamwambie mamaake hayo unayotuambia sisi tukamwambie, kama unamjali, we si unamjua? Maana kama unaamini Ganesh ni mgonjwa wa akili basi usimkosoe kwa kuthibitisha kwamba yeye ni mgonjwa wa akili, msaidie.
Na kama ni mgonwa wa akili basi usiitusi familia yake yote kwamba wana ugongwa wa akili. Familia yake, kwa mujibu wa cover uliyo i blow, ndio familia iliyotoa one of the single most cerebral minds ever to walk the face Tanzania, in the entire recorded history of this country. So get a grip and respect the man and his family.