Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Mimi nataka kujiua,kwa sababu ingawa Ndugu Rais anasema Tanzania ni kati ya nchi 20 ambazo uchumi wake unakuwa haraka, mimi naona mambo yangu hayaniendei vizuri. Kwa hiyo nataka kufikiria njia paonless ya kujiua;,nafikiria kutumia chlroquine. Wakuu sijui mnanipa usjauri gani? How many pills would I need to terminate my life?
Mwache aende huku acheki mazingira kisha atutumie emal jinsi kulivyo.Let's not trivialize this only to have regrets later on.
To those somehow in the know and somewhat close please do something.
Kujiua siyo maana yake kujitoa mhanga. Wale watu wanaojitoa mhanga ni fanatics. Fanatics maana ni kwamba they are very emotional,they are not intellctual,ni watu wenye hamasa,yaani kama Hamas.
Au kujiua siyo kwenda kumshambulia kiongozi yeyote. Hakuna kiongozi yoyote hapa. Kuna kiongozi wa Universe,kuna kiongozi wa constellation tunayoishi kuna kongozi wa Solar System;,mimi simtazami mtu yoyote na kumfikiria kwamba yeye ni kiongozi.
Kujiua maana yake kuna shida katika maisha yangu.
Angalia isije kuwa wewe ndio una mental health problems kwa sababu huelewi empyrean views zake. Mwenzio ameshaona hana cosmic purpose yeyote ulimwenguni, anapata shida tu, halafu, mwisho wa siku anajua atakufa tu, tena labda kwa mateso ya njaa au li ajali la gari, akae Muhimbili kapasuka mifupa halafu afe vile vile. Kwa hiyo, usikurupuke kusema yeye ndio mental case....Somebody contact Mama Maria (The Mama Maria) mwanawe anahitaji ndonge. Ganesh unaconfirm rumors za watu kwamba kuna matatizo ya mental health katika familia au ndio unakamilisha mission ya kuwa Bodhisattva ?
I am genuinely concerned.
Angalia isije kuwa wewe ndio una mental health problems kwa sababu huelewi empyrean views zake. Mwenzio ameshaona hana cosmic purpose yeyote ulimwenguni, anapata shida tu, halafu, mwisho wa siku anajua atakufa tu, tena labda kwa mateso ya njaa au li ajali la gari, akae Muhimbili kapasuka mifupa halafu afe vile vile. Kwa hiyo, usikurupuke kusema yeye ndio mental case.
Pia, kama unafahamu kwamba Ganesh ni Andrew Nyerere basi wewe nenda kamwambie mamaake hayo unayotuambia sisi tukamwambie, kama unamjali, we si unamjua? Maana kama unaamini Ganesh ni mgonjwa wa akili basi usimkosoe kwa kuthibitisha kwamba yeye ni mgonjwa wa akili, msaidie.
Na kama ni mgonwa wa akili basi usiitusi familia yake yote kwamba wana ugongwa wa akili. Familia yake, kwa mujibu wa cover uliyo i blow, ndio familia iliyotoa one of the single most cerebral minds ever to walk the face Tanzania, in the entire recorded history of this country. So get a grip and respect the man and his family.
GaneshMimi nataka kujiua,kwa sababu ingawa Ndugu Rais anasema Tanzania ni kati ya nchi 20 ambazo uchumi wake unakuwa haraka, mimi naona mambo yangu hayaniendei vizuri. Kwa hiyo nataka kufikiria njia paonless ya kujiua;,nafikiria kutumia chlroquine. Wakuu sijui mnanipa usjauri gani? How many pills would I need to terminate my life?
Ganesh si mtu wa kumpuuzia, kama kuna mtu ana contacts za Mama Maria au watu wa familia ya mchonga jamani watafuteni waambieni mwanawao Andy anahitaji kuwa under suicide watch, real talk.