Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
- Thread starter
- #141
Sijakuwa kiziwi,nimesema nimepoteza balance;kwa hiyo napata sea sickness,I have trouble with the escalator[especially when I was in New York],halafu kuendesha gari bila proper balance katika masikio will surely cause trouble. Lakini so far,sijaendesha gari siku za karibuni.