Sorry! I've no bad intention with you / I didn't mean to offend you, whats your gender?Just a friend, Who needs two wife's these days, while we have all this women and girls blaming us if it's not money then it's kibamia if it's not kibamia then stamina if it's not that then my be it too much, either way they will find a way to undermine a nigger so that they feel a little bit good about they are insecurities
Sent using Jamii Forums mobile app
Who are you English teacherBora ww umemaliza kwa niaba hahaha. Kwanza 'i' anaweka kwa herufi ndogo. Makosa mengi kwa kweli. Better be real. Errors tupu!
Sijakusoma madameAm madam yes sir real madam [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
alikuwa anajaribu kuongea kikristoπ π π πUnaniandikia kizungu umenisomesha wewe????(alisikika dada chaupele)
π€£π€£π€£alikuwa anajaribu kuongea kikristoπ π π π
ππππππ€£π€£π€£
Hichi sio kiingereza Mkuu ni mayai viza kama alivyotangulia kusema mdau mmoja hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Pamie nikuwa na sababu zangu kuandika kingereza hicho na nadhani hata sheria za jf zinanipa uhuru wa kufanya hivyo, ndo maana naipenda jf uhuru, ila tatizo nimeona watu wako very traditional wamekariri kama kitu mtu haelewi anaona ni Makosa kumbe kipo nje ya upeo wake watu wanadis hili ni jukwaa la mapenzi diss za niniHeri ungeandika kiswahili tu.. kuliko kuandima kiingereza cha chini ya mwembe khaaa...
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua Pamie nikuwa na sababu zangu kuandika kingereza hicho na nadhani hata sheria za jf zinanipa uhuru wa kufanya hivyo, ndo maana naipenda jf uhuru, ila tatizo nimeona watu wako very traditional wamekariri kama kitu mtu haelewi anaona ni Makosa kumbe kipo nje ya upeo wake watu wanadis hili ni jukwaa la mapenzi diss za nini
Uhuru wangu nautumia kuandika ninavyoona itafaa ukiona hujaelewa jua haukuwa mlengwa, walengwa washafanya kuja inbox
Sio kila kitu lazma uelewe wakati mwingine nyamaza ujifunze, na sio kila kitu ni kuhusu ww wakati mwingine ww sio mlengwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu ni wako Saint Anne japo mlevi, lakini kila shetani na mbuyu wake.Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We wasema, but mtazamo wako sio Sheria, haya pita hivi [emoji117][emoji117]