FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
- Thread starter
- #141
Nani kakwambia imeisha mkuu?Story imeisha kiboya sana.
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia imeisha mkuu?Story imeisha kiboya sana.
Nlidhani imeisha sorry mkuu
Mwisho ni 100 mkuu tuendelee kuenjoyNlidhani imeisha sorry mkuu
Baada ya game [emoji23][emoji23]
Man u akifungwa nazima cm[emoji23][emoji23]Baada ya game [emoji23][emoji23]
Na lazima afungwe[emoji23][emoji23]
Mkuu Arsenal naenda kumpapasa vizuri sana, matozi wa London wale hawanisumbuiNa lazima afungwe[emoji23][emoji23]
Barida barafu
Kaka Pole sana nasikia ulizimia zaidi ya mara tatu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Arsenal naenda kumpapasa vizuri sana, matozi wa London wale hawanisumbui
Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
Mkuu we acha tu game imeniboa sana jana, kufungwa na arsenal imeniuma mno[emoji23]Kaka Pole sana nasikia ulizimia zaidi ya mara tatu[emoji23][emoji23][emoji23]
@InvisibleModerator naomba nibadilishie hiyo heading inatakiwa kusomeka "I want to die judge" sio i want to die a judge
Boss hii stori umetunga wewe?Kuwa mvumilivu mkuu utaelewa kila kitu na hilo tukio kumbuka Alexander anakumbuka akiwa mbele ya kioo akiwa na alama ya bisu usoni ndo anakumbuka kilicho mkuta, umakini unahitajika mkuu utaachwa
Ndiyo mkuu, kila kitu ni mimi mwenyeweBoss hii stori umetunga wewe?