Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipande vya kawaida vilipotea kwenye cm baada ya kuupdate simu ilibaki pdf tu hivyo ilibidi nikae tena mezani kuvigawa upya leo tunaendeleaMkuu mbn kmy sana
Hapana mkuu nilipoteza vipande vya kawaida so ilibidi nivikate upya tena ndio maana nilipotea mana nilikuwa ni mishe zingine kuhangaikia tumbo plus kuandika simulizi zingine nilibakiwa na pdf tu...sio muda inakuja nimemaliza usiku so nitamalizilia vilivyo bakiaImeisha?
Sawa mkuu.Hapana mkuu nilipoteza vipande vya kawaida so ilibidi nivikate upya tena ndio maana nilipotea mana nilikuwa ni mishe zingine kuhangaikia tumbo plus kuandika simulizi zingine nilibakiwa na pdf tu...sio muda inakuja nimemaliza usiku so nitamalizilia vilivyo bakia
Shukrani inakuja saiviSawa mkuu.
Twakungoja kwa hamu Sana.
Nimeiyona napita nayo nilale kiroho safi shukrani mkuu
[emoji1488][emoji1488][emoji1488]Tunaimaliza leo